Msaada: Uume kushindwa kusimama

Msaada: Uume kushindwa kusimama

Habarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.

Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.

Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).

Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.

Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).

Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.

Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
Kunywa Windhock ulewe ili usahau matatizo yako, pombe ikishakuwa kichwan, mwite akufuate ulipo! kama anakunywa naye mnunulie anywe alewe!

Baada ya hapo njoo hapa utoe mrejesho.

Tatizo linalokusumbia ni mawazo uliyonayo, huna tatizo lolote zaidi ya hilo
 
Habarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.

Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.

Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).

Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.

Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).

Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.

Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
Wacha kumuingiza Mungu kwenye uzinzi wako kijana
 
Ukienda hospital watacheck Level ya Testosterone hormone na mara nyingi kwa maelekezo yako hayo itakutwa ipo sawa!

Sina hakika kama inaweza kushuka ghafla hivyo.
Kwa ushauri mwingine mkuu?
 
Habarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.

Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.

Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).

Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.

Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).

Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.

Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
Oa kwanza ili usaidiwe,sio usaidiwe halafu ukafanye zinaa...
 
Hilo ni tego linaitwa ‘nyamagandile’.
 
Back
Top Bottom