Msaada: Uume wangu umesimama hautaki kurudi katika hali ya kawaida

Msaada: Uume wangu umesimama hautaki kurudi katika hali ya kawaida

bishororo

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
254
Reaction score
358
Rejea kichwa cha habari juu.

Ni siku ya tatu sasa toka nmefanya mapenzi na mdada wa kazi hapa home sasa uume wangu umedinda mpaka Leo umesimama nini tatizoo msaada plzz
 
Acheni kudandiadandia madada wa kazi na kujinywesha madawa hivyo mtakufa, pole sana nenda hospital
 
Haaa haaa haaa haa
Aiseee yaan nmecheka sana
Mpaka,watu wananishangaaa
Utadhan mazur

Anyway pole mkuu

Ila kila sku mnaambiwa
Muache Viagra hamskii
Dhaaa!! I wish ungekua hapa
Kijiwen

Viagra n janga kubwa sana
Mnatumia muache
 
Achieni ajira jamani. Fantasy zimezidi uraiani huku. Mara shemale mara nini mara kudinda siku ya tatu....biatch
 
Mke wa mtu sumu,huyo dada wa kazi huko alikotoka ameaga kwa mumewe kuwa anakuja kazini.sasa weww unajifanya kidume kumdandia kisa eti ni sasa wa kazi.next time utakojoa dagaaa.
 
Rejea kichwa cha habari juu
Ni siku ya tatu sasa toka nmefanya mapenzi na mdada wa kazi hapa home sasa uume wangu umedinda mpaka Leo umesimama nini tatizoo msaada plzz
Usirudie kutumia viagra,shame on you
 
Back
Top Bottom