malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Inaonekana uko stressed, toa mawazo ya kulala uume kama unampenda mkeo utasimama na kufanya kawaida. Kikubwa toa wasi wasi wako. Wewe na mkeo wote mtulie, kama unadaiwa au huna hela toa hayo mawazo.Msaaada Kama kichwa habari kilivoeleza hapo juu nna miaka34 nimeoa nawatoto wawili shida niliyonayo niuume kusimama kidogo Sana na hata kabla yakuuweka ukeni unalala nasiwezi Tena hata uume kustuka kusimama
Hofu yenyewe nnayo tu ya kushindwaDuuh...huenda Kuna kamchezo unachezewa mkuu...au uko na hofu sana
Miezi minneHilo tatizo lina muda gani?
Asante nadhani hivi ndio vinaonitatiza Sana hasa hofuHilo sio tatizo,
Ondoa hofu kula vizur, kunywa maji ya kutosha kisha jiamini
Mawazo hasa nnayo yakulala uume maana tunapokua ktk maandalizi uume unasimama Ila sio strong kabisa yaan ikifika hatuna kuanza tendo Ile napeleka uume ukeni kabla haujafika kugusa uke Basi uume unalalainaonekana uko stressed, toa mawazo ya kulala uume kama unampenda mkeo utasimama na kufanya kawaida. kikubwa toa wasi wasi wako. Wewe na mkeo wote mtulie, kama unadaiwa au huna hela toa hayo mawazo.
Hapana uume ulikua strong Ila Kuna nyakati zilikua inatokea zakushindwa uume kulalaSwali: Hao watoto wawili uliwapata huku uume ukiwa na tabia hiyo?
Mkuu nkipiga nyeto uume hausimamiJaribu kupiga Nyeto, then utupe mrejesho
Uko wapi nikupe dawa bure.Hapana uume ulikua strong Ila Kuna nyakati zilikua inatokea zakushindwa uume kulala
Nko tabora mjiniUko wapi nikupe dawa bure.
Kabla vijana bodaboda hawajamla mke wako
Ikitokea hali hiyo mkeo au partner wako huwa anaongea au kufanya nini, nini msimamo wake?Mawazo hasa nnayo yakulala uume maana tunapokua ktk maandalizi uume unasimama Ila sio strong kabisa yaan ikifika hatuna kuanza tendo Ile napeleka uume ukeni kabla haujafika kugusa uke Basi uume unalala
Duh pole sana aiseeMkuu nkipiga nyeto uume hausimami
Ungemuwa Dar poa. Ila huko hapana. Naogopa sana kuonekana tapeli au kula pesa ya mwanafunzi mwenzanguNko tabora mjini