Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 593
- 2,219
SawaMsaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,
Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.
1.pima moyo wako kama uko sawa
2.pima kisukari
3.check vidonda vya tumbo
Ukiona kote uko fiti ndo uanze kudeal hilo tatzo lenyewe kama lenyewe ....
Usiende kwa kina karumanzila sasa nenda hospital utashauriwa kitalaam pamoja na kupewa dawa sahihi