Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 373
- 627
Misuli ilishapoteza uimara,kwa hiyo haina ushirikiano na jambo husika.Hapo ni kupata tiba tu hakuna namna.Kuna uwezekano ulikuwa mpiga punyeto sana kwa muda mrefu.Karibu tunaendelea kuwasaidia ushauri na tiba.