Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

Misuli ilishapoteza uimara,kwa hiyo haina ushirikiano na jambo husika.Hapo ni kupata tiba tu hakuna namna.Kuna uwezekano ulikuwa mpiga punyeto sana kwa muda mrefu.Karibu tunaendelea kuwasaidia ushauri na tiba.
 
Mkuu nyeto kwenye maisha yangu nimepiga mara sita tuu
 
Misuli ilishapoteza uimara,kwa hiyo haina ushirikiano na jambo husika.Hapo ni kupata tiba tu hakuna namna.Kuna uwezekano ulikuwa mpiga punyeto sana kwa muda mrefu.Karibu tunaendelea kuwasaidia ushauri na tiba.
Ktka maisha yangu mpaka nafikia Umri huu niliwahi piga nyeto Tena nkiwa na Umri wa miaka24 nilipiga mara6 tu
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,

Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.
Pima sukari pia..
 
Si uende hoapitali wakitoe hicho kibamia nyambafff
 
Angalia video ya x/porno nzuri kabla ya tendo. Mpaka Mashine itasimama kweli kweli, na moto utaupeleka mpaka Mama watoto atashangaa.
 
Unaweza ukawa na UTI sugu katafute anti boitic kali umelize dozi yote kwa time na unywe maji mengi na ufanye mazoezi bila kusahau kula karanga mara kwa mara au kila siku hata za jero
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,

Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.
Mkuu pole kwa hayo matatizo uliyokuwa nayo nitafutemimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Shida iliazaga 2015 kabla sjaoa yaan baada yakuwa ktk mahusiano ndio nkaexperiece ufanyaji tendo wa namna hiyo
...Ina maana Toka 2015 ukipiga BAO Moja TU basi, huwezi kurudia la Pili ? Na Hilo BAO Moja lenyewe linakuwa la dk ngapi?
...Hilo ni tatizo linalostahili Dr hospitalini.
Pole Mkuu...
..
 
Hapana sjawahi mfanyia mwanamke yoyote ubaya..labda ubaya Kama upi unaouzungumzia
...Labda ulimuahidi Kumuoa, halafu ukapoga Kona hewani na kumuacha Solema, na Kumuoa huyo uliye naye Sasa....!
 
Unakipato gani?
Mke hanuki ke?
mke anakuheshimu?
Unampenda?
 
...Ina maana Toka 2015 ukipiga BAO Moja TU basi, huwezi kurudia la Pili ? Na Hilo BAO Moja lenyewe linakuwa la dk ngapi?
...Hilo ni tatizo linalostahili Dr hospitalini.
Pole Mkuu...
..
Hilo moja la dk10-15 nimeshakwenda sana hosiptal Sina shida
 
Limeisha hilo nicheki 0712505049 natibu kwa program ya matunda tu au maji ya uvugu vugu matokeo siku ya tatu unayaona kupona week mbili ukipona umepona hairud tena
 
Back
Top Bottom