Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Aliye kuroga namjua. Ngoja nice na tiba sahihiMsaaada Kama kichwa habari kilivoeleza hapo juu nna miaka34 nimeoa nawatoto wawili shida niliyonayo niuume kusimama kidogo Sana na hata kabla yakuuweka ukeni unalala nasiwezi Tena hata uume kustuka kusimama
malembeka18 unaonekana uko overweight, lakini kikubwa kwa sasa nakushauri wewe na mkeo muongee vizuri ili mjue mnatakiwa kushirikiana, na wewe kikubwa toa hofu. Uzito unao takiwa kuwa nao au kuwa karibu nao utaupata hapa chini164cm
Shida iko hapo, haswa huyo mwanamke ndio anakumaliza, anahitaji ushauri wa nini anatakiwa kufanya kama mama. Sasa hapo nashauri umuone mshauri umueleze kwanza halafu uje kwenda na mkeo.Ahsante kwa ushauri nami hofu imetawala napia mke ushirikiano upo finyu ikitokea nashindwa nae anaghadhabika nasio kunipa moyo
Kuna wanawake wengine kuwa nao kwenye mahusiano kunapelekea matatizo kama ya mtoa mada!Kabisa jamaa ana hofu kubwa ya kuto kusimamisha, na inaonekana mkewe hana ushirikiano kabisa ana analeta dharau, sasa jamaa anaishia pozi kabisa. Nadhani hapa yeye na mkewe wangeenda kuona talaamu wa saikologia ili kuwaweka sawa na kuielewa hiyo hali. kifupi mzee huna shida, tatizo lako ni hofu tu
Uko sahihi...Kuna wanawake wengine kuwa nao kwenye mahusiano kunapelekea matatizo kama ya mtoa mada!
Tabia,mienendo hulka,dharau,uchafu,kauli zao nk hukufanya usiwe na hamu nae kabisa.
Hujaelewa ipasavyo tatizo lakuwa hivi kabisa mfululizo nimiezi4 Ila kuwa Kama vile nikipindi kirefu yaan siwezi rudia roundi yapiliHuyu jamaa hatoi taarifa ipasavyo fatilieni nyuzi zake za awali kuna vitu mtagundua!. Tatizo anasema la miezi 4 kumbe toka 2020 huko.
Nindani yadakika5 napia inakua legelege inaweza kulala kabla hata sjafika mshindoNa je ikisimama, unatumia muda gani kufika mshindo?
Yes nikweli hii shida ninayo tangia ndoa inamiez8Uko sahihi...
unaweza kumuelezea mkeo ni mwanamke wa namna gani katika mahusiano yenu ya kawaida, ni wale mbishi, nini kinakufurahisha au kukukera kwake? unajisikiaje juu yake?Yes nikweli hii shida ninayo tangia ndoa inamiez8
Ilitakiwa uambatanishe mkuu Kuna tofauti kubwa ya tatizo kuwa la muda mfupi na muda mrefu! Zile zilikuwa dalili za matokeo ya leo..Hujaelewa ipasavyo tatizo lakuwa hivi kabisa mfululizo nimiezi4 Ila kuwa Kama vile nikipindi kirefu yaan siwezi rudia roundi yapili
Isije kuwa ulitembeaga na mke wa mtuMsaaada Kama kichwa habari kilivoeleza hapo juu nna miaka34 nimeoa nawatoto wawili shida niliyonayo niuume kusimama kidogo Sana na hata kabla yakuuweka ukeni unalala nasiwezi Tena hata uume kustuka kusimama
Nahisi kunayo miongoni uliyoyazungumzaKuna wanawake wengine kuwa nao kwenye mahusiano kunapelekea matatizo kama ya mtoa mada!
Tabia,mienendo hulka,dharau,uchafu,kauli zao nk hukufanya usiwe na hamu nae kabisa au kushindwa kujiamini.
Pole mkuu...mbaya zaidi kama mkeo sio mstaarabu ataenda kukutangaza nje! Hapo ndipo utaumia zaidi na kukuua kisaikolojia. Jiamini na ondoa hofu, puuza lawama na makasiriko yake.Nahisi kunayo miongoni uliyoyazungumza
Shida iliazaga 2015 kabla sjaoa yaan baada yakuwa ktk mahusiano ndio nkaexperiece ufanyaji tendo wa namna hiyoIlitakiwa uambatanishe mkuu Kuna tofauti kubwa ya tatizo kuwa la muda mfupi na muda mrefu! Zile zilikuwa dalili za matokeo ya leo..
Ulishaenda hospital..?
Ndo nataka nijikite ktk kupunguza lawama namakasiriko yake ambayo ndio yananipelekea hii Hali kuwa hiviPole mkuu...mbaya zaidi kama mkeo sio mstaarabu ataenda kukutangaza nje! Hapo ndipo utaumia zaidi na kukuua kisaikolojia. Jiamini na ondoa hofu, puuza lawama na makasiriko yake.
But Mkuu nkipiga nyeto uume hausimami