Path Creator
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 223
- 133
ww ni kidume wa shoka.kwani ukipiga miti bado unabaki umesimama?Nilikua naona aibu kuzungumzia hili jambo mpaka ilivonizidia,sijajua kipi haswa kinapelekea mpaka inakua hivi ila ghafla tu jana nimefika nyumbani na hii hali kuanza.Kwa anaye jua tatizo Doctors please help coz mpaka sasahivi bado hali ni ileile.Ntashukuru
Naomba nianze hivi kabla sijajibu swali lako?Nilikua naona aibu kuzungumzia hili jambo mpaka ilivonizidia,sijajua kipi haswa kinapelekea mpaka inakua hivi ila ghafla tu jana nimefika nyumbani na hii hali kuanza.Kwa anaye jua tatizo Doctors please help coz mpaka sasahivi bado hali ni ileile.Ntashukuru
Alafu wawe wanashinda ndani muda wote, hizo shughuli za kujiletea maendeleo zitafanyika wakati gani?Kuna mdada mmoja humu Jf aliwahi kuleta uzi kuwa wakati wote ana hamu ya kugegedwa !! Ukimpata huyu akawa mkeo itakuwa vyema sana.
NshawaiNaomba nianze hivi kabla sijajibu swali lako?
Umewahi kujichua? na kama umewahi unamuda gani toka uanze? kama hujawahi je ulishawahi kujiingiza katika matumizi ya dawa zinazoongeza nguvu za kiume? baada ya hapo nitakujibu swali lako
#be openly
Pole nenda Hosp, km ni priapism hii ni surgical emergency, unaweza kufanyiwa upasuaji au njia nyingine ambayo Dr preferably urologist, pengine nikuulize swali km una tatizo la sickle cell?Nilikua naona aibu kuzungumzia hili jambo mpaka ilivonizidia,sijajua kipi haswa kinapelekea mpaka inakua hivi ila ghafla tu jana nimefika nyumbani na hii hali kuanza.Kwa anaye jua tatizo Doctors please help coz mpaka sasahivi bado hali ni ileile.Ntashukuru
unaitaji massage laiini na kulazwa sehemu tulivu utalala tusio vzr mwenzenu ana shida kaja kuomba msaada mwenye kumsaidia aweze alaf nyie mna mkejeri kaka pole sana utapona tu