Msaada: Uume wangu unasimama muda wote haulali

Path Creator

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
223
Reaction score
133
Nilikua naona aibu kuzungumzia hili jambo mpaka ilivonizidia,sijajua kipi haswa kinapelekea mpaka inakua hivi ila ghafla tu jana nimefika nyumbani na hii hali kuanza.Kwa anaye jua tatizo Doctors please help coz mpaka sasahivi bado hali ni ileile.Ntashukuru
 
ww ni kidume wa shoka.kwani ukipiga miti bado unabaki umesimama?
 
Lipo tatizo kama hilo pamoja na kwamba sio jambo linalojitokeza sana ila wahi hospitali mkuu.
 
Nilikua naona aibu kuzungumzia hili jambo mpaka ilivonizidia,sijajua kipi haswa kinapelekea mpaka inakua hivi ila ghafla tu jana nimefika nyumbani na hii hali kuanza.Kwa anaye jua tatizo Doctors please help coz mpaka sasahivi bado hali ni ileile.Ntashukuru
Naomba nianze hivi kabla sijajibu swali lako?

Umewahi kujichua? na kama umewahi unamuda gani toka uanze? kama hujawahi je ulishawahi kujiingiza katika matumizi ya dawa zinazoongeza nguvu za kiume? baada ya hapo nitakujibu swali lako

#be openly
 
Kuna mdada mmoja humu Jf aliwahi kuleta uzi kuwa wakati wote ana hamu ya kugegedwa !! Ukimpata huyu akawa mkeo itakuwa vyema sana.
Alafu wawe wanashinda ndani muda wote, hizo shughuli za kujiletea maendeleo zitafanyika wakati gani?
 
Naomba nianze hivi kabla sijajibu swali lako?

Umewahi kujichua? na kama umewahi unamuda gani toka uanze? kama hujawahi je ulishawahi kujiingiza katika matumizi ya dawa zinazoongeza nguvu za kiume? baada ya hapo nitakujibu swali lako

#be openly
Nshawai
 
Mkuu nakushauri uwe unasoma hizi comments ukiwa tayari uko Hospital unless unatania!!
 
Kuna tukio 1 lilitokea uingereza jamaa uume wake ulikuwa unasimama Muda wote kaoga maji ya baridi wapi umesimama, katia kwenye barafu wapi umesimama mpaka kaenda hospital, wakamchoma sindano kwenye uume kupunguza damu jamaa ndo kutilia.
 
Nilikua naona aibu kuzungumzia hili jambo mpaka ilivonizidia,sijajua kipi haswa kinapelekea mpaka inakua hivi ila ghafla tu jana nimefika nyumbani na hii hali kuanza.Kwa anaye jua tatizo Doctors please help coz mpaka sasahivi bado hali ni ileile.Ntashukuru
Pole nenda Hosp, km ni priapism hii ni surgical emergency, unaweza kufanyiwa upasuaji au njia nyingine ambayo Dr preferably urologist, pengine nikuulize swali km una tatizo la sickle cell?
 
Back
Top Bottom