Msaada: Uvimbe njia ya uzazi

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,726
Reaction score
314
Habari,

Mi na mke wangu tumezaa mtoto mmoja wa kike, ana umri wa miaka minne na nusu sasa. Tuliamua kuzaa tena, tukaanza kama mara tatu hivi wife alionekana kama mjamzito ila baada ya wiki hadi wiki mbili anaona siku zake.

Mara ya tatu ilitushtua hasa baada ya kuona hali hiyo inajirudia, tukaamua kwenda hospital ya wilaya, akapigwa ultra sound ikaonekana ana uvimbe kwenye njia ya uzazi ambao haufahamiki chanzo chake na unahisiwa ndio chanzo cha kutoshika mimba. Amepewa barua ya rufaa kwenda Muhimbili.

Kichwa kinapata moto. Ushauri wenu tafadhali .

Asante.
 
sio tatz kubwa km ufkliavy...kuna aina nyng nyng za uvimbe kwny mfuko wa uzaz......naamn atapona na usiwe na hofu...ch kukushaur awe anakunywa sn maj......lita 1 na nusu mpk lita2.... ungenambia ktk conclusion ya ultra sound kuna nn ningekushaur jambo.......sio dawa ila umuone nan na wap jambo lako liishe kwa hp dar..... uguza salama
 
Asante sana kwa kwakunitia moyo. Mgonjwa anataraji kusafiri kesho kutwa kwenda Dar.
Ingawa mgonjwa hana maumivu yoyote na anafanya kazi kama kawaida
 
Kama unaweza kuwa na imani naweza kutoa msaada,yawezekana umesikia madawa mbadala meengi, mimi dawa nilizozonazo nilipata kutoka kampuni inaitwa Edmark ya malaysia,Dar wana ofisi pia,mimi nilijiunga nao kwa kutafuta tiba kwa mke wangu juu ya tatizo la tonses ambalo tayari alishaambiwa atafanyiwa operation but now tumesahau kabisa juu ya hilo tatizo.na Dawa ninayozungumzia hapa inaitwa splina ni tiba lishe inatengenezwa na mmea inayouwezo kabisa wa kumsaidia mkeo,inauzwa 63,000.so if ur interested let us communicate nikupe maelezo ya kutosha
 

Attachments

  • 1431973147555.jpg
    41.6 KB · Views: 200
Pole sana.Kuna njia nyingine ya kuepukana na uvimbe au kuzuia usitokee tena maana wengine wamepata operation na wakati mwingine hujirudia. kuna ushauri wa ziada 0689 417472
 
,kuu tafuta mbegu na majani ya mlonge yanasaidia matatizo ya uzazi kwa mwanamke na mwanaume pia na kumaliza vimbe zote mwilini. pia ajaribu kutumia maziwa, samaki, asali mbichi, tangawizi, mdalasini na kitunguu saumu kwa maelezo zaidi ni pm maelezo ni buree
 
Asante kwa ushauri lakini alifanyiwa operation akiwa na mimba ya wiki mwaka jana mwezi wa nane na mwaka huu mwezi wa nne kajifungua mtoto wa kiume.

Tatizo lililopo sasa mtoto huyo ana hema kwa tabu sana inahisiwa vinyama vimeota puani maana baada ya kwenda hospital ya Wilaya walitu refer Muhimbili ambako wamesema mpaka mtoto aongezeke umri ndio wanaweza kumchunguza. Walitupa dawa anatumia lakini hali bado hana nafuu
 
ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…