Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Habari,
Mi na mke wangu tumezaa mtoto mmoja wa kike, ana umri wa miaka minne na nusu sasa. Tuliamua kuzaa tena, tukaanza kama mara tatu hivi wife alionekana kama mjamzito ila baada ya wiki hadi wiki mbili anaona siku zake.
Mara ya tatu ilitushtua hasa baada ya kuona hali hiyo inajirudia, tukaamua kwenda hospital ya wilaya, akapigwa ultra sound ikaonekana ana uvimbe kwenye njia ya uzazi ambao haufahamiki chanzo chake na unahisiwa ndio chanzo cha kutoshika mimba. Amepewa barua ya rufaa kwenda Muhimbili.
Kichwa kinapata moto. Ushauri wenu tafadhali .
Asante.