Msaada: Uwakala wa TANESCO kuuza LUKU

Msaada: Uwakala wa TANESCO kuuza LUKU

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,900
Reaction score
688
Wadau wa Biashara na Uchumi Jukwaani Asalam Waleikum,

Nikiwa Dar huwa naona vibanda vina nembo za LUKU hata kabla haya mambo ya kulipia kwa simu au maxmalipo hayajaingia.Na hata pale hizo malipo na airtel money au tigopesa na mpesa zikikosa network watu wote wanakimbilia kwenye vibanda vya LUKU. Lakini naviona Dar tu mikoani sijaviona.

Je nikitaka kufungua mikoani inawezekana?

Kwa wenye ufahamu juu ya utaratibu wa kuwa wakala wa Tanesco na faida yake kwa mapato ikoje na kadirio la mtaji pia.

Msaada wenu tafadhali.
 
wadau nasubiri mchango wenu
 
mkuu hujawahi kutumia google?,
mbona hizo mada washaongea sana hapa?,
kama hujiui kuserch sema ntakuwekea link

nisaidie link mkuu. google naona mambo ya selcom, maximalipo, buttonpay etc. mi nahitaji ile ya tanesco ya zamani kabla ya hawa mawakala
 
ooh kumbe unataka luku original,mi.nilikuwa nakupeleka huko huko maxmalipo
 
ndo vibanda vikiitwa Luku vending stastion.

zile mashine ni luku vending machine,
zipo kweli ama wameswich kutumia hawa kina maxmalipo
 
Ninayo mashine ya Maximalipo Kama unahitaji nitakuuzia kwani kwasasa nabadilisha Biashara. Nicheck kwenye Whatsapp yangu 0778080031
 
Back
Top Bottom