Msaada uzoefu wa watumiaji wa unlimited Internet ya Airtel Mwanza mjini

Trayvess Daniel

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
651
Reaction score
1,244
Kama kichwa kinavyojieleza, nimekua mtumiaji wa voda unlimited kifurushi cha 115K miaka miwili sasa, lakini huu mwaka kimekua na usumbufu wa hali ya juu as if ni msaada.....

Nataka nihame chimbo, option pekee ni airtel, TTCL wameniwekea mkwamo, tigo nilipo ni mtihani mkubwa......

Kama unatumia airtel unlimited Internet Mwanza please mwaga uzoefu hapa au DM
 
Kama unaishi mjini kabisa consider fiber kwanza, mitandao ya simu wameanza kusambaza fiber pia, ukikosa fiber ndio hamia 5G.
 
Pia 115K ni 4G, kuna improvement kubwa toka 4G kwenda 5G.
 
Pia 115K ni 4G, kuna improvement kubwa toka 4G kwenda o
Mkuu Nina swali Kuna watu wanatanganza kuunganishwa menu kwenye laini yako yenye vifurushi ambavyo Kama utataka kujiunga utapata unafuu kwenye bando.lina ukweli hili?.( Maana najua wale wanasema watumiwe pesa labda 7000 nikuunge 15Gb ni matapeli tu.) Nauliza kuhusu hao wanaosema kuwezesha laini menu yenye vifurushi nafuu.
 
Kama unaishi mjini kabisa consider fiber kwanza, mitandao ya simu wameanza kusambaza fiber pia, ukikosa fiber ndio hamia 5G.
Fiber distance nilipo hamna, ipo mjini kati tu na maeneo ya karibu
Nlijaribu TTCL kabla ya voda story zikawa nyingi mara ununue nguzo blah blah.... TTCL imepita 2km toka nilipo
 
Mkuu Nina swali Kuna watu wanatanganza kuunganishwa menu kwenye laini yako yenye vifurushi ambavyo Kama utataka kujiunga utapata unafuu kwenye bando.lina ukweli hili?.( Maana najua wale wanasema watumiwe pesa labda 7000 nikuunge 15Gb ni matapeli tu.) Nauliza kuhusu hao wanaosema kuwezesha laini menu yenye vifurushi nafuu.
Kama ni vifurushi vya postpaid/SME then vipo, ni vifurushi vya wafanyabiashara, kama una Tin unaweza mwenyewe kwenda ofisi husika ukaungwa, ama ukaonana na hao watu physically wakuunge ndio ufanye malipo.
 
Thanks
 
Na sisi wa machinjioni Mwanza tushatuma maombi ttcl mwaka wa 4 huu unaenda hakuna lolote limefanyika
 
Back
Top Bottom