Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Port Louis/MauritiusWadau, naombeni new ideas:
Mji au nchi gani ulienda vacation / safari ya mapumziko na ukafurahia?
Kama ulitembelea jiji kubwa, ulikaa eneo gani, na ni kitu gani kilichokuvutia zaidi?
View attachment 3226649
Shamba wapi Ma, nipe ramani!Umebeba mabegi ila hujui uende wapi? Njoo huku shamba
Asante 🙏Port Louis/Mauritius
Asante napapenda sana, mapumziko ya weekend.Nenda Bongoyo Island
sumba wangaWadau, naombeni new ideas:
Mji au nchi gani ulienda vacation / safari ya mapumziko na ukafurahia?
Kama ulitembelea jiji kubwa, ulikaa eneo gani, na ni kitu gani kilichokuvutia zaidi?
View attachment 3226649
Lengo ni kupumzika, kutembelea sehemu tofauti, good food na beautiful scenery.Lengo lako ni kutafuta Nini, Tamaduni, miundombinu au mabaki ya historia za kale
Me sijawahi toka nje ya nchi ila sehemu ambazo zipo kwenye listLengo ni kupumzika, kutembelea sehemu tofauti, good food na beautiful scenery.
Asante napenda Scuba na napapenda sana mnemba!Kisiwa cha Mnemba zanzibar hapo kizmkazi
Kama unataka sehemu tulivu na ya kifahari, Mnemba ni kisiwa cha kibinafsi chenye fukwe za kifahari na mazingira bora kwa diving na snorkeling.
Nenda kaangalie madhari ya kisiwa cha Sicily kipo Italy lazima utakipenda 😃😃😃Lengo ni kupumzika, kutembelea sehemu tofauti, good food na beautiful scenery.