sasa kumbe tatizo unalijua sheikh...Anhaaa,, hapo kwenye milo ntarekesbisha mana me huwa napiga chai saa5 hadi usiku tena mana huwa sijisikii sana kula ( hii hali tangu utotoni sio mlaji sana)
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Dawa unayo mwenyewe hapo ulipo, chemsha maji lita moja tia vijiko 3 vya sukali kwa kijiko kimoja cha chumvi ipua yapoe yakiwa ya vuguvgu kunywq yote lita moja fanya hivyo mara kwa maraNimetumia dawa ya heligo kit lakini wap aisee yaani hapa sina hali. Sijawahi umwa huu ugonjwa ni mara ya kwanza. Sinywi pombe wala soda. Nisaidieni wakuu.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hiki ndio chanzo cha tatizo, hakikisha unakula hata kidogo hatakama hujisikiiAnhaaa,, hapo kwenye milo ntarekesbisha mana me huwa napiga chai saa5 hadi usiku tena mana huwa sijisikii sana kula ( hii hali tangu utotoni sio mlaji sana)
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
anatumia jina huko mjini Instagram?Kuna jamaa alinisaidia dawa ya vidonda vya tumbo nikampatia ndugu yangu unaweza kumcheki instagram.
Na miguu inauma?Yaani tumbo linauma kama linawaka moto vile au kama vitu vina choma choma linaanza hapa chini ya kifua kisha linazunguka lote yaaani mvurugano tu aisee
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app