Msaada; vidonda vya tumbo vinanitesa sana.

Msaada; vidonda vya tumbo vinanitesa sana.

Nimetumia dawa ya heligo kit lakini wap aisee yaani hapa sina hali. Sijawahi umwa huu ugonjwa ni mara ya kwanza. Sinywi pombe wala soda. Nisaidieni wakuu.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Dawa unayo mwenyewe hapo ulipo, chemsha maji lita moja tia vijiko 3 vya sukali kwa kijiko kimoja cha chumvi ipua yapoe yakiwa ya vuguvgu kunywq yote lita moja fanya hivyo mara kwa mara
 
Back
Top Bottom