V Vitalis Kitime Member Joined Jun 13, 2016 Posts 26 Reaction score 4 Aug 2, 2016 #1 Naomba kujua kitaalamu ni vipi vidonda msongo wa mawazo unasababisha vidonda vya tumbo?
M melatonin1 Member Joined Jul 17, 2016 Posts 15 Reaction score 8 Aug 2, 2016 #2 Vitalis Kitime said: Naomba kujua kitaaramu ni vipi vidonda msongo wa mawazo unasababisha vidonda vya tumbo? Click to expand... Unapokuwa na mawazo unakosa hamu ya kula,na nyongo haiangalii umekula au hujala ikifika muda wa kutoa sumu inatoa tuu inakutana na utumbo
Vitalis Kitime said: Naomba kujua kitaaramu ni vipi vidonda msongo wa mawazo unasababisha vidonda vya tumbo? Click to expand... Unapokuwa na mawazo unakosa hamu ya kula,na nyongo haiangalii umekula au hujala ikifika muda wa kutoa sumu inatoa tuu inakutana na utumbo
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,596 Reaction score 2,226 Aug 14, 2016 #3 hapana, msongo wa mawazo huongeza kiasi cha kuongezeka kwa tatizo kuwa kubwa