Msaada: Vidonda vya tumbo vinasababishwa na msongo wa mawazo?

Msaada: Vidonda vya tumbo vinasababishwa na msongo wa mawazo?

Naomba kujua kitaaramu ni vipi vidonda msongo wa mawazo unasababisha vidonda vya tumbo?
Unapokuwa na mawazo unakosa hamu ya kula,na nyongo haiangalii umekula au hujala ikifika muda wa kutoa sumu inatoa tuu inakutana na utumbo
 
hapana,
msongo wa mawazo huongeza kiasi cha kuongezeka kwa tatizo kuwa kubwa
 
Back
Top Bottom