Msaada: Vidonda vya Tumbo vinatesa

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,320
Reaction score
1,738
Tangu juzi yaan Alhamis nmekutwa na vidonda vya tumbo nmepatiwa dawa Hospital lakn nnaona kama hazinisaidii. Nnaomba mwenye kujua Dawa inayoweza kuniponya anisaidie jaman. Pia uwezo wng ni mdogo cwez kununua dawa zaid ya 10,000
 
Pole sana Prezda.
 
Mkuu nenda hospitali ilo tatizo linatibika,kuna kipindi nilikua na tatizo kama lako nikaenda hospitali nikapimwa nikakutwa na ilo tatizo daktari aliniandikia dozi na nilivyoitumia nilipona kabisa hadi leo...nilitishiwa sana kuwa ilo tatizo halitibiki hospitali but mungu mkubwa nimepona kabisa NB..Ukishapewa dawa hospitali hakikisha unabadilisha life style ya milo yako i mean kula mara kwa mara,zingatia kula vyakula utakavyoshauriwa na daktari and kama kuna kitu kinakupa stress kiepuke sana..ilo tatizo ukifuata hayo mkuu utapona kabisa nenda tu hospitali...ukishapona mkuu nitafute siku moja twende tukajipongeze kwa kula nyama choma
 
Asante
 
Tangu juzi yaan Alhamis nmekutwa na vidonda vya tumbo nmepatiwa dawa Hospital lakn nnaona kama hazinisaidii. Nnaomba mwenye kujua Dawa inayoweza kuniponya anisaidie jaman. Pia uwezo wng ni mdogo cwez kununua dawa zaid ya 10,000
Pole sana! Dawa yake mpaka upone ni laki kama na nusu!! Niliwa tibiwa pale kwa mama Ngoma Mwenge ! siku hizi hili tatizo lipo tena sana kutokana na maji na mazingira kwa mfano hapa Dar,matunda yanayouzwa mitaani,Chips na Kachumbali (ujui zimetoka wapi) Wakazi wa Dar Mchana Lunch za kwenye ndooo n.k ujui wamepikaje etc. usipozitibu utapata tu Kansa so pambana!! dawa zinafanana na attached pictures Kwa siku ni vidonge 6 chini ya hapo akuna
 
Attachments

  • 6AD1614E-69AA-4871-B4E1-DB51D55FB8E4.jpeg
    6.1 KB · Views: 43
  • 5DD1801E-6789-4FC4-B279-50A1F9E3F1CB.jpeg
    12.8 KB · Views: 47
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…