Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Prezda.Tangu juzi yaan Alhamis nmekutwa na vidonda vya tumbo nmepatiwa dawa Hospital lakn nnaona kama hazinisaidii. Nnaomba mwenye kujua Dawa inayoweza kuniponya anisaidie jaman. Pia uwezo wng ni mdogo cwez kununua dawa zaid ya 10,000
AsanteMkuu nenda hospitali ilo tatizo linatibika,kuna kipindi nilikua na tatizo kama lako nikaenda hospitali nikapimwa nikakutwa na ilo tatizo daktari aliniandikia dozi na nilivyoitumia nilipona kabisa hadi leo...nilitishiwa sana kuwa ilo tatizo halitibiki hospitali but mungu mkubwa nimepona kabisa NB..Ukishapewa dawa hospitali hakikisha unabadilisha life style ya milo yako i mean kula mara kwa mara,zingatia kula vyakula utakavyoshauriwa na daktari and kama kuna kitu kinakupa stress kiepuke sana..ilo tatizo ukifuata hayo mkuu utapona kabisa nenda tu hospitali...ukishapona mkuu nitafute siku moja twende tukajipongeze kwa kula nyama choma
Pole sana! Dawa yake mpaka upone ni laki kama na nusu!! Niliwa tibiwa pale kwa mama Ngoma Mwenge ! siku hizi hili tatizo lipo tena sana kutokana na maji na mazingira kwa mfano hapa Dar,matunda yanayouzwa mitaani,Chips na Kachumbali (ujui zimetoka wapi) Wakazi wa Dar Mchana Lunch za kwenye ndooo n.k ujui wamepikaje etc. usipozitibu utapata tu Kansa so pambana!! dawa zinafanana na attached pictures Kwa siku ni vidonge 6 chini ya hapo akunaTangu juzi yaan Alhamis nmekutwa na vidonda vya tumbo nmepatiwa dawa Hospital lakn nnaona kama hazinisaidii. Nnaomba mwenye kujua Dawa inayoweza kuniponya anisaidie jaman. Pia uwezo wng ni mdogo cwez kununua dawa zaid ya 10,000
Konyagi chupa kubwa lile linauzwa 5000 au kunywa gongo then ulete mrejeshoNdio dawa gani hii.....? Inapatikana wap
Acheni ungese,kila sehemu ujinga ujinga tuKonyagi chupa kubwa lile linauzwa 5000 au kunywa gongo then ulete mrejesho