Msaada, vifaa vya maabara kwa Dar vinapatikana wapi kwa bei gani?

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
819
Reaction score
756
Habari wanaBusiness, naomba msaada anayejua bei ya vifaa vya chemistry laboratory apparatus kwa dar au kwa dodoma vinapatikana sehemu gani. Vifaa kama hivi kwenye picha chin.

 
Kuna mtu yuko mwanza alikua na maabara ikamshinda kuiendesha anaviuza vifaa vyote anaweza kukuuzia kwa bei nzuri pia Kama bado unavihitaji ni pm nikupe namba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…