Habari wanaBusiness, naomba msaada anayejua bei ya vifaa vya chemistry laboratory apparatus kwa dar au kwa dodoma vinapatikana sehemu gani. Vifaa kama hivi kwenye picha chin.
Kuna mtu yuko mwanza alikua na maabara ikamshinda kuiendesha anaviuza vifaa vyote anaweza kukuuzia kwa bei nzuri pia Kama bado unavihitaji ni pm nikupe namba yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.