Msaada:Vifaa vya Ujenzi

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,047
Reaction score
1,832
Habar wana jukwaa mimi ni Raia wa kawaida yaani mtafutaji mdogo, nimejichanga nimenunua kiwanja, Nimefyatua Tofali za kuchoma zipo Tayar, Nimenunua bati za kawaida tayar, sasa nataka kijenga vyumba vitatu, kimoja Master na viwili vya kawaida, nataka kuanza kununua vifaa vya ujenzi kidogo kidogo,Hivyo nahitaji msaada wa kuorodheshewa vitu vyote ikiwezekana na idadi ili nianze kununua kidogo kidogo huku tunaita kujengea chini ili siku ukipandisha nyumba inapanda mazima.

Shughuli yangu kubwa ni uwakala wa mitandao ya simu na kilimo

Natumaini nitapatiwa msaada
 
Mkuu hiyo ni kazi usitake vya bure lipa hela wataalamu wakufanyie quotation (BOQ) hii itakusaidia Kama umeweza kujichanga hautashindwa kulipa laki 1.5 au 2 kwa mtaalamu ili akuandalie boq kiongozi lazima uwe na mchoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…