Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Habar wana jukwaa mimi ni Raia wa kawaida yaani mtafutaji mdogo, nimejichanga nimenunua kiwanja, Nimefyatua Tofali za kuchoma zipo Tayar, Nimenunua bati za kawaida tayar, sasa nataka kijenga vyumba vitatu, kimoja Master na viwili vya kawaida, nataka kuanza kununua vifaa vya ujenzi kidogo kidogo,Hivyo nahitaji msaada wa kuorodheshewa vitu vyote ikiwezekana na idadi ili nianze kununua kidogo kidogo huku tunaita kujengea chini ili siku ukipandisha nyumba inapanda mazima.
Shughuli yangu kubwa ni uwakala wa mitandao ya simu na kilimo
Natumaini nitapatiwa msaada
Shughuli yangu kubwa ni uwakala wa mitandao ya simu na kilimo
Natumaini nitapatiwa msaada