Msaada: Vifaranga wanaishiwa nguvu miguuni

Msaada: Vifaranga wanaishiwa nguvu miguuni

wana dalili gani hao kuku?kama utaweza tuma picha ili tukushauri vizuri na kwa usahihi
d0ff4844e2109cee730b866b4da0703b.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watafutie viroba tena uwahi maana soon manyara vutakuwa vinapatikana!
 
JF ina madini sana.
Nina vifaranga vya week moja na siku 3 jana nimechukua vifaranga vipya nikawachanganya nikawawekea taa ya joto. Leo nimekuta kimoja kile cha week 1 ushee kinashindwa kutembea. Nimeona kuna mtu kasema joto huwa linawaathiri. Nimezima ile taa nasubiri matokeo.....

JF Idumu.
 
Back
Top Bottom