vakolavene
Member
- Jan 20, 2017
- 39
- 26
- Thread starter
-
- #41
Thanks man saiv wananendelea vizuri nliwapa dcpTuliza akili boss.. Ukivurugwa utaharibu
wana dalili gani hao kuku?kama utaweza tuma picha ili tukushauri vizuri na kwa usahihi
Saiv wananendelea poa dcp nliwapa pamoja na multivitaminwana dalili gani hao kuku?kama utaweza tuma picha ili tukushauri vizuri na kwa usahihi
Hili jibu sio zuri hata kidogo mtoa mada hajauliza ili kuleta utani kwann kama hujui usijipitie kimya kimya tuu