cute datty
JF-Expert Member
- Jul 11, 2014
- 583
- 277
Jamani wajuzi wa asali nawasubiri mwenzenu mnijuze.
Jamani wajuzi wa asali nawasubiri mwenzenu mnijuze.
Mimi nikushauri tumia glass type na metal caps, japo ni gharama.
Ina cost sh.ngapi mkuu na ninaweza kupata wapi?nijuze tafadhali.
Mkuu G12 nahitaji plastic material,size robo lita na nusu lita.Nahitaji ziwe na label ya kampuni yangu.Quantity nitajua pale nitakapoelewa cost ya hizo container.Niambie ina cost kiasi gani per container.Thanks for advance.Funguka kidogo
Unataka container za aina gani? Nylon au Plastic material?
Unataka za ukubwa gani?
Unataka ziwe na logo na description ya kampuni yako?
Unataka quantity kiasi gani?
Pamoja
asali haiharibiki hata.
Mkuu G12 nahitaji plastic material,size robo lita na nusu lita.Nahitaji ziwe na label ya kampuni yangu.Quantity nitajua pale nitakapoelewa cost ya hizo container.Niambie ina cost kiasi gani per container.Thanks for advance.