cute datty
JF-Expert Member
- Jul 11, 2014
- 583
- 277
Habari zenu wapendwa,
Nataka kuanza biashara ya asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo toka tabora naomba kujuzwa nitapata wapi vifungashio kwa ajili ya kuweka hiyo asali nahitaji vya robo lt na nusu lita.Pia mwenye ujuzi na biashara hii naomba anijuze namna ya kufanya package nzuri anipe na ushauri jinsi gani naweza fanikiwa kwa biashara hii.Pia naomba kujuzwa Je asali huwa inaharibika? kama NDIO inachukua muda gani kuharibika?,nifanyeje ili isiweze kuharibika?.Natanguliza shukrani mwenye ujuzi karibu kwa ushauri.