Hii kitu sidhani ka ipo kwenye vyuo vingine...ila ka unaenda kusoma DIT au Mzumbe ambapo unasoma certificate ukifaulu vizuri unaweza kujiunga na degree hapo bila kusoma diploma.
Wenye kujua waje humu wakusaidie jamani. Ila nadhani inawezekana. Mbona watu wengine huwa wanaomba kwenda chuo kwenye sell forms,badala ya kwenda advance?