Msaada vigezo vya kuchukua diploma kwa cheti cha form4

Msaada vigezo vya kuchukua diploma kwa cheti cha form4

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
12,893
Reaction score
20,089
Samahani nilipenda kujua kwa mtu aliefaulu form 4 kama ana uwezekano wa kuchukua diploma badala ya kwenda a level
 
Hii kitu sidhani ka ipo kwenye vyuo vingine...ila ka unaenda kusoma DIT au Mzumbe ambapo unasoma certificate ukifaulu vizuri unaweza kujiunga na degree hapo bila kusoma diploma.
 
Wenye kujua waje humu wakusaidie jamani. Ila nadhani inawezekana. Mbona watu wengine huwa wanaomba kwenda chuo kwenye sell forms,badala ya kwenda advance?
 
Back
Top Bottom