Baadhi ya vigezo ninavyo vifahamu ili upate kibali cha kuhama; ugonjwa, kumfuata mwenza, kusogea karibu na wategemezi wako, kukaa kituo kimoja kwa muda mrefu, na kubwa ni pamoja na mwajiri wako kukuruhusu/kukupitishia barua ya kuomba nafasi unakotaka kuhamia, kupata nafasi ulikoomba kuhamia na mwisho mwajiri akuombee kibali cha kuhama kwa katibu mkuu TAMISEMI kupitia kwa RAS.