Msaada: Vigezo vya kuhama kazi

Msaada: Vigezo vya kuhama kazi

saligongo

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
300
Reaction score
340
jamani mwenye kufahamu vigezo maalumu vya kuhama kituo cha kazi anijuze na process mzima ya kuomba kuhama pia
 
Kwa nini uhame kituo cha Kazi? Huo ni ukosefu wa nidhamu kazini, au bosi anakutaka kingono? Anyway hapo nimekupa sababu moja ya kuhama, kuna zinine nyingi kama 15 hivi. Jielee kwanza kwa nini unataka kuhama. Au Umemwibia mwajiri wako?
 
hahahaaaa hapana dragoon bt nataka nifahamu tu hzo sababu
 
Jieleze vizuri, kazi gani ama idara gani?. Je ni private ama serikalini?
Maelezo yako hayaeleweki sidhan unaweza ukapata kusaidiwa kiivyo tu.
 
Baadhi ya vigezo ninavyo vifahamu ili upate kibali cha kuhama; ugonjwa, kumfuata mwenza, kusogea karibu na wategemezi wako, kukaa kituo kimoja kwa muda mrefu, na kubwa ni pamoja na mwajiri wako kukuruhusu/kukupitishia barua ya kuomba nafasi unakotaka kuhamia, kupata nafasi ulikoomba kuhamia na mwisho mwajiri akuombee kibali cha kuhama kwa katibu mkuu TAMISEMI kupitia kwa RAS.
 
Back
Top Bottom