Msaada vijiji gani nipeleke dagaa wa Mwanza?

Jana nimeenda mwaloni nimeambiwa huko mwaloni gozba mvua zinanyesha so dagaa hawapo mpaka mvua ikate kwanza
 

Mkuu nataka niianze hii biashara sema jana nimeenda mwaloni kirumba nimeambiwa Goziba mvua inapiga balaa so uanikaji shida na dagaa wamepanda bei sana gunia linarange 270k mpaka 280k so nikashauriwa niwait mpaka mvua ikate ndio niende na bei itakua chini kidogo, Mkuu kwa uzoefu wako vp naweza kuanza na mtaji wa sh ngapi? je pale kirumba hakuna usumbufu wa kupata meza na wateje? japo nimehakikishiwa meza pale ni sh 500 kwa gunia ukishauza.
 
Apa unamdanganya mkuu.. waha na wale dagaa wao uwaambii kitu nishawah kupata hasara iyo hatar
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜πŸ˜„
 
Gunia linakuwa na debe ngapi mkuu?
 
Gunia linakuwa na debe ngapi mkuu?

mkuu mwenyewe natafuta info kama wewe bado sijaianza hii business ila linakaa debe 10 nasikia wanapima kwa madumu kule visiwani dumu moja ndio debe 1 ambalo ni 24k per debe kwa sasa nasikia.
 
Mkuu hii ishu bado unapiga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…