luisajr
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 270
- 85
muonekane wa hivo vipele ni kama visunzua ama? maana kuna ugonjwa unaitwa Genital warts wenyewe unapata vinundu nundu vigumu sehemu za siri pia .
Vina dawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muonekane wa hivo vipele ni kama visunzua ama? maana kuna ugonjwa unaitwa Genital warts wenyewe unapata vinundu nundu vigumu sehemu za siri pia .
Some time tabia ya kubadilisha sabuni kila siku pia Inapelekea kufanya vipele kwenye viungo vya uzazi
jaribu kutumia sabuni kostant kama family basi tumia iyoiyo wala usitumiasabuni moja zaidi ya watu wawiliInawezekana ....n mm nabadili mno
jaribu kutumia sabuni kostant kama family basi tumia iyoiyo wala usitumiasabuni moja zaidi ya watu wawili