DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hivi vipele vinawasha na Vinatoa maji au ni vigumu na Viko hapo hapo tu au na sehemu nyinginepicha hapo chini
Mmhhhkwenywe nyuzi
MjulubengHili ni eneo gani la mwili
I'm sure ni kwenye goti..😜Hii ni sehemu Gani??
Kwa haraka haraka ni kama Ni Vulva au Labia Majora..
So ungekuwa Specific ni sehemu gani ingekuwa bora kukupa jibu
Kuna komenti moja mdada anasifia badala ya kumshauri🤣cheki kulia kwako pale mnapokatagwa
ANhaa sasa kuna uwezekano wa Magonjwa Kama manne hivi..kwenywe nyuzi