Msaada vipele ukeni

Msaada vipele ukeni

Kigogo tabia si nzuri hiyo! Hunijui sikujui!? Ajabu

ukimwi hauna kujuana yaani nikiona dalili tu kama zako najua ni wiring imekubali..unapoteza tu dawa sijui za fungus industries...anza dozi bana
 
Ikishindikana mwambie baba avikwangure na dushelele vitasalimu amri tu hasa muda wa alfajiri
 
Nenda hsptl ya vichaa kigogo. Ww si mzima itakuwa hiv virus imekula ubongo wako.
 
nedha hospitali aisee

waweza kuwa na warts - zinatibika, au hata magonjwa mengine aisee (

na si ajabu umepata kwa njia ya kujamiiana:A S 13:
 
Asanteni sana nmeenda hosptal nmegundulika nna genital warts n sasa nachoma cndano ya kuremove
 
Noo jamani hilo tatizo halina uhusiano na kufanya kisaa...hao ni virus wanaitwa hpv
 
Back
Top Bottom