Wakuu heshima kwenu.
Kuna jamaa wangu anasumbuliwa na tatizo la vipele usawa wa taya na vinamuwasha sana. Ni mwaka wa 12 ameshaenda hospitali nyingi bila
mafanikio.
Pia kifuani kalianza kakipele ila kamegeuka na kuwa kama nyama na kanazidi kuota.
Vipele vipo kuanzia mwisho wa sikio kushuka usawa wa taya hadi kwenye kidevu.
Msaada tafadhali.