Msaada: Vipele usawa wa Taya

Msaada: Vipele usawa wa Taya

kababaa1

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
633
Reaction score
421
Wakuu heshima kwenu.

Kuna jamaa wangu anasumbuliwa na tatizo la vipele usawa wa taya na vinamuwasha sana. Ni mwaka wa 12 ameshaenda hospitali nyingi bila mafanikio.

Pia kifuani kalianza kakipele ila kamegeuka na kuwa kama nyama na kanazidi kuota.

Vipele vipo kuanzia mwisho wa sikio kushuka usawa wa taya hadi kwenye kidevu.

Msaada tafadhali.

Wakuu heshima kwenu.

Kuna jamaa wangu anasumbuliwa na tatizo la vipele usawa wa taya na vinamuwasha sana. Ni mwaka wa 12 ameshaenda hospitali nyingi bila

mafanikio.

Pia kifuani kalianza kakipele ila kamegeuka na kuwa kama nyama na kanazidi kuota.

Vipele vipo kuanzia mwisho wa sikio kushuka usawa wa taya hadi kwenye kidevu.

Msaada tafadhali.

Mmmh madaktari wakuje hilo zito pole saaana lrafiki wa rafiki yetu wa jamii forum
 
mkuu hamic abdallah inaweza kuwa kansa?
ngoja waje mabingwa zaid
 
Back
Top Bottom