Habari JF Dokta. Naombeni msaada kuna hivi vipele viko kama chunusi bali si chunusi hupenda kutokea kwenye ngozi laini kuzunguka jicho kwa baadhi ya watu. Nimeshaona watu wengi wanavyo wengine walishawahi kuniambia kama ni urithi.
Bahati mbaya nami naona vimeanza kunitokea vilianza kamoja mara viwili mara naona vinazidi kama ni urithi kwenye koo zetu zijamona aliyenavyo ila naamini vina chanzo na je nini kinasababisha vipelepele hiv?i na je dawa gani natural inaweza kunisaidia kuviondoa maana napenda sana uzuri wa macho.
Natanguliza shukrani zangu.