Msaada: vipelepele vinavyotokea kwenye ngozi laini ya Macho!

Msaada: vipelepele vinavyotokea kwenye ngozi laini ya Macho!

Rubi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,615
Reaction score
331
Habari JF Dokta. Naombeni msaada kuna hivi vipele viko kama chunusi bali si chunusi hupenda kutokea kwenye ngozi laini kuzunguka jicho kwa baadhi ya watu. Nimeshaona watu wengi wanavyo wengine walishawahi kuniambia kama ni urithi.

Bahati mbaya nami naona vimeanza kunitokea vilianza kamoja mara viwili mara naona vinazidi kama ni urithi kwenye koo zetu zijamona aliyenavyo ila naamini vina chanzo na je nini kinasababisha vipelepele hiv?i na je dawa gani natural inaweza kunisaidia kuviondoa maana napenda sana uzuri wa macho.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Ninanvyo na nilienda kwa specialist wa ngozi na ushauri alinionipa ni:"hivyo usihangaike navyo kwani si vyako" akimaanisha ni vya kurithi. Labda kuna wataalamu hapa wakutoa msaada zaidi.
 
Ninanvyo na nilienda kwa specialist wa ngozi na ushauri alinionipa ni:"hivyo usihangaike navyo kwani si vyako" akimaanisha ni vya kurithi. Labda kuna wataalamu hapa wakutoa msaada zaidi.
Mh, ndugu vikizidi kwa kweli vinaharibu sura ya jicho. nimeona watu wanachukiza kwa ajilii ya hivyo vipele maana wengine vinazunguka jicho lote. tena wengine ni vikubwa vikubwa.
 
Back
Top Bottom