Msaada: Vipimo vya hii ramani, nimeikwapua sehemu

Kuwa 16 kwa 14 mita, ni kosa kubwa. Ni matumizi mabaya ya pesa na nafasi.
Arch gurus wote ni lazima wajue kucheza na nafasi ili kuminimize cost
Nimeweka Dimensions kadri ya mchoro wake Boss! Ingekuwa Mimi, spatial and functional organisation could be more ideal far from that!
 
Nimeweka Dimensions kadri ya mchoro wake Boss! Ingekuwa Mimi, spatial and functional organisation could be more ideal far from that!
Sawa, Ila hapaswi kwenda na ukubwa huo. Labda kuna vitu viongozewe.
 
Kubadili kidogo ramani au kuweka bati linalopitisha mwanga.
Kubadili ramani sawa. Ila issue ya bati ya mwanga sidhani Kama itafanya kazi maana nyumba Kama itakuwa na ceiling.
 
Wewe ni zaidi ya mkandarasi... Umejibu maswali yangu mengi big up mkuu

Mi nashindwa nikusaidiaje, nichore hiyo ramani alafu niweke vipimo nikupe au niandike hapa vipimo?
Habari mkuu kupitia iyo ramani iliyokwapuliwa naomba unirekebishie uifanye vyumba vitatu master na single 2 sebule yenye open dinning na jiko la saizi tu nyumba ya kawaida ya baraza ya kuvuta mbele na nyuma ila iwe kisasa natanguliz shukrani zangu za dhati
 
Wewe ni zaidi ya mkandarasi... Umejibu maswali yangu mengi big up mkuu

Kwa nini usiwaombe "Jenga nao" wakusaidie vipimo, bila shaka umeitoa kwao...

Hata hivyo mara nyingi vipimo hutegemea wewe wahitaji nini, mathalani wataka chumba cha kulala kiwe 3m x 3m au 3m x 3.5m n.k n.k
MKONGWE! Leo umetembelea jukwaa letu, karibu sana
 
Ngoja na mie nilete karamani kangu mkapatie dimensions hapa.

Aise hivi ile nadharia ya kuwa cost ya ujenzi per square metre ni 500k bado ipo applicable?
 
Ngoja na mie nilete karamani kangu mkapatie dimensions hapa.

Aise hivi ile nadharia ya kuwa cost ya ujenzi per square metre ni 500k bado ipo applicable?
Infact inategemea ni structure ya aina gani na materials pia! 500k itakupoteza! Fanya ka utafiti kidogo utakuta ni around 800k

Hebu leta hiyo ramani
 
Infact inategemea ni structure ya aina gani na materials pia! 500k itakupoteza! Fanya ka utafiti kidogo utakuta ni around 800k

Hebu leta hiyo ramani
😲😲😲 Wee ndio unataka nisianze kabisa ujenzi. Yaani nyumba ya 100sqm iwe million 80! Mzeya kwani najenga mini kempisky
 
[emoji44][emoji44][emoji44] Wee ndio unataka nisianze kabisa ujenzi. Yaani nyumba ya 100sqm iwe million 80! Mzeya kwani najenga mini kempisky
[emoji1787][emoji1787] Soma vizuri maelezo yangu acha woga! Wewe anza ujenzi kwa On-Site Estimates! Hizi mbwembwe za rates hutaziweza, Unless unataka nyumba ya kwenye makaratasi. Ukienda NCC pale utapewa rates na maelezo kama yangu, unajenga structure ya aina gani? Multfloors? Materials je? Steel? Masonry? Timber au nn?
Anza Ujenzi kwa hesabu halisi za ukitakacho! Rates waachie maQS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…