Msaada: Vipimo vya hii ramani, nimeikwapua sehemu

Kuwa 16 kwa 14 mita, ni kosa kubwa. Ni matumizi mabaya ya pesa na nafasi.
Arch gurus wote ni lazima wajue kucheza na nafasi ili kuminimize cost
Nimeweka Dimensions kadri ya mchoro wake Boss! Ingekuwa Mimi, spatial and functional organisation could be more ideal far from that!
 
Sawa, Ila hapaswi kwenda na ukubwa huo. Labda kuna vitu viongozewe.
 
Haifiki huko
- ipo hivi
Kwa mbele (Front view), itawakilisha upana
  • master room ni 4.6m, sehemu iliyotokeza ya choo chake ni 0.5m
  • sitting room 5m( sawa na verandah)
  • Dining 3.5m
  • Kitechen verandah iliyotokeza 1.2m
Jumla kwa mbele ni 14.8m

Kwa nyuma (rear view)
  • sehemu ya kitchen veranda iliyokeza 1.2 m
  • store 1.2m
  • bedroom 3.5m
  • sh 1.2m
  • wc 1.2m
  • bedroom 3m
  • bedroom 3.5m
Jumla upande wa nyuma (rear view) ni 14.8m

Kwa pembeni kulia (right view), itawakilisha urefu
  • sehemu iliyotokeza ya entry verandah 2m
  • master room 4m
  • choo Cha master room 1.5m
  • choo Cha bedroom ya kawaida 1.2m, ambayo ipo usawa wa corridor
  • bedroom 3.5m
  • sehemu iliyotokeza ya bedroom 0.5m
Jumla kwa pembeni kulia jumla ni 12.7m

Kwa pembeni kushoto(left view)
  • sehemu iliyotokeza ya entry verandah ni 2m
  • dining 2.7m
  • kitchen pamoja na kitchen veranda 4m
  • store 2.5m
  • sehemu ya bedroom iliyotokeza 1m
  • sehemu ya bedroom iliyotokeza 0.5m
Kwa pembeni kushoto jumla ni 12.7m

Hivyo ukubwa wa nyumba ni 14.8m kwa 12.7m

Ushauri; kwenye wc na sh, hapo "sh" ife na iwe wc ya bedroom iliyo karibu yake hapo ili kuipa privacy kwa maana mlango wake upo karibu na sehemu ya wazi ya sitting room, kwa maana mtu akitoka na taulo kwenda kuoga walio sitting room wote watamuona
Then, hiyo wc ndio itakua choo na bafu at the same time
Kama Kuna sehemu hujaelewa uliza, Mimi ndio

Kama Kuna sehemu hujaelewa uliza, Mimi
Wewe ni zaidi ya mkandarasi... Umejibu maswali yangu mengi big up mkuu

Mi nashindwa nikusaidiaje, nichore hiyo ramani alafu niweke vipimo nikupe au niandike hapa vipimo?
Habari mkuu kupitia iyo ramani iliyokwapuliwa naomba unirekebishie uifanye vyumba vitatu master na single 2 sebule yenye open dinning na jiko la saizi tu nyumba ya kawaida ya baraza ya kuvuta mbele na nyuma ila iwe kisasa natanguliz shukrani zangu za dhati
 
Haifiki huko
- ipo hivi
Kwa mbele (Front view), itawakilisha upana
  • master room ni 4.6m, sehemu iliyotokeza ya choo chake ni 0.5m
  • sitting room 5m( sawa na verandah)
  • Dining 3.5m
  • Kitechen verandah iliyotokeza 1.2m
Jumla kwa mbele ni 14.8m

Kwa nyuma (rear view)
  • sehemu ya kitchen veranda iliyokeza 1.2 m
  • store 1.2m
  • bedroom 3.5m
  • sh 1.2m
  • wc 1.2m
  • bedroom 3m
  • bedroom 3.5m
Jumla upande wa nyuma (rear view) ni 14.8m

Kwa pembeni kulia (right view), itawakilisha urefu
  • sehemu iliyotokeza ya entry verandah 2m
  • master room 4m
  • choo Cha master room 1.5m
  • choo Cha bedroom ya kawaida 1.2m, ambayo ipo usawa wa corridor
  • bedroom 3.5m
  • sehemu iliyotokeza ya bedroom 0.5m
Jumla kwa pembeni kulia jumla ni 12.7m

Kwa pembeni kushoto(left view)
  • sehemu iliyotokeza ya entry verandah ni 2m
  • dining 2.7m
  • kitchen pamoja na kitchen veranda 4m
  • store 2.5m
  • sehemu ya bedroom iliyotokeza 1m
  • sehemu ya bedroom iliyotokeza 0.5m
Kwa pembeni kushoto jumla ni 12.7m

Hivyo ukubwa wa nyumba ni 14.8m kwa 12.7m

Ushauri; kwenye wc na sh, hapo "sh" ife na iwe wc ya bedroom iliyo karibu yake hapo ili kuipa privacy kwa maana mlango wake upo karibu na sehemu ya wazi ya sitting room, kwa maana mtu akitoka na taulo kwenda kuoga walio sitting room wote watamuona
Then, hiyo wc ndio itakua choo na bafu at the same time
Kama Kuna sehemu hujaelewa uliza, Mimi ndio

Haifiki huko
- ipo hivi
Kwa mbele (Front view), itawakilisha upana
  • master room ni 4.6m, sehemu iliyotokeza ya choo chake ni 0.5m
  • sitting room 5m( sawa na verandah)
  • Dining 3.5m
  • Kitechen verandah iliyotokeza 1.2m
Jumla kwa mbele ni 14.8m

Kwa nyuma (rear view)
  • sehemu ya kitchen veranda iliyokeza 1.2 m
  • store 1.2m
  • bedroom 3.5m
  • sh 1.2m
  • wc 1.2m
  • bedroom 3m
  • bedroom 3.5m
Jumla upande wa nyuma (rear view) ni 14.8m

Kwa pembeni kulia (right view), itawakilisha urefu
  • sehemu iliyotokeza ya entry verandah 2m
  • master room 4m
  • choo Cha master room 1.5m
  • choo Cha bedroom ya kawaida 1.2m, ambayo ipo usawa wa corridor
  • bedroom 3.5m
  • sehemu iliyotokeza ya bedroom 0.5m
Jumla kwa pembeni kulia jumla ni 12.7m

Kwa pembeni kushoto(left view)
  • sehemu iliyotokeza ya entry verandah ni 2m
  • dining 2.7m
  • kitchen pamoja na kitchen veranda 4m
  • store 2.5m
  • sehemu ya bedroom iliyotokeza 1m
  • sehemu ya bedroom iliyotokeza 0.5m
Kwa pembeni kushoto jumla ni 12.7m

Hivyo ukubwa wa nyumba ni 14.8m kwa 12.7m

Ushauri; kwenye wc na sh, hapo "sh" ife na iwe wc ya bedroom iliyo karibu yake hapo ili kuipa privacy kwa maana mlango wake upo karibu na sehemu ya wazi ya sitting room, kwa maana mtu akitoka na taulo kwenda kuoga walio sitting room wote watamuona
Then, hiyo wc ndio itakua choo na bafu at the same time
Kama Kuna sehemu hujaelewa uliza, Mimi
Wewe ni zaidi ya mkandarasi... Umejibu maswali yangu mengi big up mkuu

Hii nyumba ni kubwa. Kwa mahesabu ya haraka haraka Urefu x Upana sio chini ya 18mx 15m hivi. Binafsi hua sipendi sebule ikae katikati ya nyumba maana itakua haina hewa, ningekua ni mimi hiyo sebule ningeipeleka kulia ili iwe na madirisha mbele na pembeni halafu dinning ndio ije kati
 
Kwa nini usiwaombe "Jenga nao" wakusaidie vipimo, bila shaka umeitoa kwao...

Hata hivyo mara nyingi vipimo hutegemea wewe wahitaji nini, mathalani wataka chumba cha kulala kiwe 3m x 3m au 3m x 3.5m n.k n.k
MKONGWE! Leo umetembelea jukwaa letu, karibu sana
 
Ngoja na mie nilete karamani kangu mkapatie dimensions hapa.

Aise hivi ile nadharia ya kuwa cost ya ujenzi per square metre ni 500k bado ipo applicable?
 
Infact inategemea ni structure ya aina gani na materials pia! 500k itakupoteza! Fanya ka utafiti kidogo utakuta ni around 800k

Hebu leta hiyo ramani
 
😲😲😲 Wee ndio unataka nisianze kabisa ujenzi. Yaani nyumba ya 100sqm iwe million 80! Mzeya kwani najenga mini kempisky
 
[emoji44][emoji44][emoji44] Wee ndio unataka nisianze kabisa ujenzi. Yaani nyumba ya 100sqm iwe million 80! Mzeya kwani najenga mini kempisky
[emoji1787][emoji1787] Soma vizuri maelezo yangu acha woga! Wewe anza ujenzi kwa On-Site Estimates! Hizi mbwembwe za rates hutaziweza, Unless unataka nyumba ya kwenye makaratasi. Ukienda NCC pale utapewa rates na maelezo kama yangu, unajenga structure ya aina gani? Multfloors? Materials je? Steel? Masonry? Timber au nn?
Anza Ujenzi kwa hesabu halisi za ukitakacho! Rates waachie maQS
 
Back
Top Bottom