Haifiki huko
- ipo hivi
Kwa mbele (Front view), itawakilisha upana
- master room ni 4.6m, sehemu iliyotokeza ya choo chake ni 0.5m
- sitting room 5m( sawa na verandah)
- Dining 3.5m
- Kitechen verandah iliyotokeza 1.2m
Jumla kwa mbele ni 14.8m
Kwa nyuma (rear view)
- sehemu ya kitchen veranda iliyokeza 1.2 m
- store 1.2m
- bedroom 3.5m
- sh 1.2m
- wc 1.2m
- bedroom 3m
- bedroom 3.5m
Jumla upande wa nyuma (rear view) ni 14.8m
Kwa pembeni kulia (right view), itawakilisha urefu
- sehemu iliyotokeza ya entry verandah 2m
- master room 4m
- choo Cha master room 1.5m
- choo Cha bedroom ya kawaida 1.2m, ambayo ipo usawa wa corridor
- bedroom 3.5m
- sehemu iliyotokeza ya bedroom 0.5m
Jumla kwa pembeni kulia jumla ni 12.7m
Kwa pembeni kushoto(left view)
- sehemu iliyotokeza ya entry verandah ni 2m
- dining 2.7m
- kitchen pamoja na kitchen veranda 4m
- store 2.5m
- sehemu ya bedroom iliyotokeza 1m
- sehemu ya bedroom iliyotokeza 0.5m
Kwa pembeni kushoto jumla ni 12.7m
Hivyo ukubwa wa nyumba ni 14.8m kwa 12.7m
Ushauri; kwenye wc na sh, hapo "sh" ife na iwe wc ya bedroom iliyo karibu yake hapo ili kuipa privacy kwa maana mlango wake upo karibu na sehemu ya wazi ya sitting room, kwa maana mtu akitoka na taulo kwenda kuoga walio sitting room wote watamuona
Then, hiyo wc ndio itakua choo na bafu at the same time
Kama Kuna sehemu hujaelewa uliza, Mimi ndio mkandarasi niliyeshindikana