Hizo solving ndo jina lake ? Pia ktk practical geog vp kizur au kuna kikal zaid yake?
ktabu cha mganda(solvng economics) muhimu dogo! Khsu practical geog check vitabu vyote msabila, zisti kamili, also mtegetwaa! Ila kuwa makn na topic ya research coz kila mwandishi anakuwa anaandkaga tofaut na mwenzake! So uelewa wako na ujanja wakoo wa kuuliza kwa mwalimu wako wa geography atakayekufundsha!!!!.,! Overrrr
Ahsante. Nimechaguliwa bagamoyo sec
acha kumkatsha tamaa ..cha maana kukuaza buti..duu apo imekula
kwako kwa nnavojua bagamoyo imekuwa shule ya mwisho kimkoa kwa 2013
results
Poa Shukwan
acha kumkatsha tamaa ..cha maana kukuaza buti..
hongera kijana tupo wote hyo combi...😎
Hv katk form 5 math ni topic zipi za kucover
dgo kta pure math bla kujua calculas(differentiation&intergration) lazma upate taabu coz concept zake zinaingia sehemu kibao za topic za pure math...! Xo kazaa kwanza hzo mbilii hzo nyinginee mdogomdogo hko hko shulee, ila ukienda form five bla kusoma hzo topic kwanza duuh utapata taaabuu
Unanisaidiaje kwan cja soma tution, alaf cjui vitab gan vzur au material yanapatikana wap mazur
dgo upo mkoa ganii? Mda wote huo tang mwenz wa 10 mwaka jana! Au hta baada ya kutoka matokeo tena mara zte mbili, ki ukwel ulitakiwa uwe ushaua angalau topic mbili au tatu za mwanzo kutoka kila somo kwenye combination yako! Ila co kesi kama upo dar kuhusu math nenda kariakoo kwa mwaramy/mwaramsha kuna notes za topic zte, so ela yako 2! Upnde wa geography nenda msimbaz centre kwa mtegetwa, kuhusu uchum sasaa mitaa flan ya ubungo nyuma ya ubungo plazaa ulizia pizzoo tuition centre! Overrr...!
Ahsante sana. Ila, Huko kariakoo ni mtaa gani ili niweze fika kwa mwaramy/mwaramsha.
oppsite na benamin mkapa sec kma unatokea karume, au kma upo kariakoo msimbazi barabara inayoolekea mtaa wa 'tandahimba' kariakoo au ukfka maeneo ya msimbazi ulizia victoria tuition centre! Daah bahat mbaya namba yake ya cmu nimepotezaaa