Msaada: Vitabu gani vizuri kwa comb ya E.G.M

calvean

Member
Joined
May 31, 2013
Posts
26
Reaction score
0
Naombeni mnitajie vitabu vizuri na vinavyotumika kwa masomo ya comb ya E.G.M
 
dgo acha uzembee! uchum anza na ambilikile zote 1&2 then hamia kwa mgandaa economcs hakikisha unapata vitabu vya solvng zotee! Khsu geo check msabila, rb bunnet ,monk house, na kuhsu math check pure 1&2, engeneerng mathematics, na tranter kwa mbalii ila dgo EGM co lele mamaa vp umechaguliwa shule gan
 
Hizo solving ndo jina lake ? Pia ktk practical geog vp kizur au kuna kikal zaid yake?
 
ktabu cha mganda(solvng economics) muhimu dogo! Khsu practical geog check vitabu vyote msabila, zisti kamili, also mtegetwaa! Ila kuwa makn na topic ya research coz kila mwandishi anakuwa anaandkaga tofaut na mwenzake! So uelewa wako na ujanja wakoo wa kuuliza kwa mwalimu wako wa geography atakayekufundsha!!!!.,! Overrrr
 
Daagh...hapa bhana kila mtu atakuja na ujuzi wake...binafsi mi kutokana na nature yangu (sio mtu wa misuli) uchumi nilisoma kitabu kimoja tu AMBILIKILE MWAISAPILE 1&2....Fuata ushauri wote ila kataa utakaokwambia usisome ambilikile....yule ndo atakupa msingi afu baadae utasogea kwa mganda na kina salemi....geography DT MSABILA yuko vizuri tu..
 
ktabu cha mganda(solvng economics) muhimu dogo! Khsu practical geog check vitabu vyote msabila, zisti kamili, also mtegetwaa! Ila kuwa makn na topic ya research coz kila mwandishi anakuwa anaandkaga tofaut na mwenzake! So uelewa wako na ujanja wakoo wa kuuliza kwa mwalimu wako wa geography atakayekufundsha!!!!.,! Overrrr

Nashukuru kaka.
 
Poa Shukwan

dgo khsu uchum asikudanganye mtu! anza kwanza na Ambilikile zote 1&2 kma nilivyokwambia then ndo uje kwa mgandaa! Ukfnyaa hvo utafanikiwa kwenye somo la ECONOMICS
 
Hv katk form 5 math ni topic zipi za kucover

dgo kta pure math bla kujua calculas(differentiation&intergration) lazma upate taabu coz concept zake zinaingia sehemu kibao za topic za pure math...! Xo kazaa kwanza hzo mbilii hzo nyinginee mdogomdogo hko hko shulee, ila ukienda form five bla kusoma hzo topic kwanza duuh utapata taaabuu
 
Unanisaidiaje kwan cja soma tution, alaf cjui vitab gan vzur au material yanapatikana wap mazur
 
dgo upo mkoa ganii? Mda wote huo tang mwenz wa 10 mwaka jana! Au hta baada ya kutoka matokeo tena mara zte mbili, ki ukwel ulitakiwa uwe ushaua angalau topic mbili au tatu za mwanzo kutoka kila somo kwenye combination yako! Ila co kesi kama upo dar kuhusu math nenda kariakoo kwa mwaramy/mwaramsha kuna notes za topic zte, so ela yako 2! Upnde wa geography nenda msimbaz centre kwa mtegetwa, kuhusu uchum sasaa mitaa flan ya ubungo nyuma ya ubungo plazaa ulizia pizzoo tuition centre! Overrr...!
 
Ahsante sana. Ila, Huko kariakoo ni mtaa gani ili niweze fika kwa mwaramy/mwaramsha.
 
oppsite na benamin mkapa sec kma unatokea karume, au kma upo kariakoo msimbazi barabara inayoolekea mtaa wa 'tandahimba' kariakoo au ukfka maeneo ya msimbazi ulizia victoria tuition centre! Daah bahat mbaya namba yake ya cmu nimepotezaaa
 
Ahsante sana.
Unaweza nitajia topic za math na geog za f.5
 
Back
Top Bottom