Msaada :Vocha TCU/NACTE application inauzwa

Msaada :Vocha TCU/NACTE application inauzwa

yaasary

Senior Member
Joined
Mar 26, 2011
Posts
110
Reaction score
59
Habari ndugu zangu, kuna jamaa yangu alinunua vocha kwa ajili ya kuomba usajili TCU, ghafla amepata matatizo hivyo ameshindwa kutuma maombi, Tunaomba msaada kwa anayetaka KUTUMA maombi kupitia Diploma Category, tumpatie vocha hii kwa mukubaliano ya kulipa kiasi cha pesa ,

NOTE, 1=Thamani halisi ya voch ni Tsh, 50000 kama ilivyopendekezwa na TCU/NACTE
2=Punguzo la bei linawezekana, hata kama huna pesa kwa sasa, mawasiliano yakiwa mazuri hamna shida
3= piga no 0759909180 utaongea na mtu aliyepo SUA morogoro, hivyo unaweza kuonana naye akupatie hiyo
vocha, msaada wa application pia utakuwepo
SHUKRANI
 
Mkubwa watu wa Diploma wanalipia fee zao kwa M pesa hizo vocha ni kwa ajili ya watu wa form six inakuwaje huyo jamaa yako awe na vocha za NBC wakati umesema anaomba kupitia Diploma category
 
Mkubwa watu wa Diploma wanalipia fee zao kwa M pesa hizo vocha ni kwa ajili ya watu wa form six inakuwaje huyo jamaa yako awe na vocha za NBC wakati umesema anaomba kupitia Diploma category[
/QUOT)E]

Ni kweli mkuu, nilikuwa namaanisha ile statment (sms) ya M-pesa kuthibitisha kuwa kuna pesa imelipwa
 
Me niihitaji hyo nipo dar ila navojua katika usaili wa kununua hyo vocha lazima hiyo lain yako itakua na jina lake kamil so mm nikiichukua haitakua batili coz wakat ananunua jina lake ndio lilitambulika mpesa
 
Me niihitaji hyo nipo dar ila navojua katika usaili wa kununua hyo vocha lazima hiyo lain yako itakua na jina lake kamil so mm nikiichukua haitakua batili coz wakat ananunua jina lake ndio lilitambulika mpesa
ile sms ya m-pesa ndo number ya siri, kwa hiyo hata akitumia mwingine itaonekana amepata ridhaa ya mnunuaji kwan ni wajibu wa mtu kutunza ile sms, Naomba tu tuwasiliane endapo kutakuwa na matatizo yoyote tutarekebisha
 
Back
Top Bottom