Habari Wakuu
Natafuta app ya android ninayoweza kutumia kupiga Simu kwenda nje ya Tanzania kwa kutumia VoIP (voice over internet protocol).
Nimejaribu VoipStudio haifanyi kazi. Ningependa kupata ambayo ina free trial ili nijaribu kabla ya kulipia.
Nitashukuru kwa muongozo.