Swali la Uelewa. VoIP hautumiii internet!? Maana naona Sasa hivi haya mambo unaweza Kufanya hata Na Whatsapp Voice callHabari Wakuu
Natafuta app ya android ninayoweza kutumia kupiga Simu kwenda nje ya Tanzania kwa kutumia VoIP (voice over internet protocol).
Nimejaribu VoipStudio haifanyi kazi. Ningependa kupata ambayo ina free trial ili nijaribu kabla ya kulipia.
Nitashukuru kwa muongozo.
Ngoja niichekiTelos vipi mkuu, unanunua namba ya je lakink canada, US na UK nadhani unanunua muda wa maongezi inapiga na kupokea sms na wewe unaweza tuma hata sms akapokea mtu mwenye simu ya torch
VoIP inatumia internet. Whatsapp siwezi kutumia kupiga kwenye landline au namba yoyote isiyokuwa na app ya Whatsapp.Swali la Uelewa. VoIP hautumiii internet!? Maana naona Sasa hivi haya mambo unaweza Kufanya hata Na Whatsapp Voice call
Tumia skype, ama app ya Nchi husika.VoIP inatumia internet. Whatsapp siwezi kutumia kupiga kwenye landline au namba yoyote isiyokuwa na app ya Whatsapp.
Nimetumia Skype Leo nashangaa after 15 minutes ya kupiga UK my account was blocked. Natafuta support center Yao wanifafanulieTumia skype, ama app ya Nchi husika.
Rates za Skype
Skype to Phone plans for low cost international calling | Skype
Dial numbers internationally with Skype’s low cost rates. Reach those who aren’t on Skype with our international calling plans from any device.www.skype.com
Sababu skype ni App ya Kimagharibi kupiga Us ama nchi nyengine za kimagharibi ni rahisi.
Na umetumia njia halali kabisa? Ama dakika za Vichochoroni?Nimetumia Skype Leo nashangaa after 15 minutes ya kupiga UK my account was blocked. Natafuta support center Yao wanifafanulie
walinipa 400 minutes trial offer.Na umetumia njia halali kabisa? Ama dakika za Vichochoroni?