Busara za mzee
Member
- Jun 11, 2023
- 36
- 25
😅Hiyo haipo sawa,hata VX V8 haili hivyo,pole sana mkuu
ubovu wake nini ndg yangu usiotengenezeka?Voxy ni gari mbovu kwelikweli
Engine yake haikufanya vizuri sokoni watumiaji wengi wamepata nayo shida hii ni gari ambalo Toyota walifeli kwenye engineubovu wake nini ndg yangu usiotengenezeka?
vipi kuna utaalamu wa kuweka engine nyingine tofauti na hii?Engine yake haikufanya vizuri sokoni watumiaji wengi wamepata nayo shida hii ni gari ambalo Toyota walifeli kwenye engine
Sina uhakika sana ni engine ipi unaweza kufungavipi kuna utaalamu wa kuweka engine nyingine tofauti na hii?
Hiyo engine inamfumo unaitwa EGR ( Exhaust gas Recirculation ) ambao unafanya gas ya kurudisha exhausted gas tena kwenye combation chamber , so valve zake zikiziba ndo zinakuja kuleta hayo matatizo kwenye hizo engine .Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4.
Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km.
Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu.
Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu.
Naombeni msaada wenye uzoefu na hizi engine.
Mpaka sasa bado hiyo changamoto ipoNaombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4.
Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km.
Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu.
Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu.
Naombeni msaada wenye uzoefu na hizi engine.
Yes ipo ndio maana nimeandika huu uzi kuomba ushauriMpaka sasa bado hiyo changamoto ipo
Asante sana. nitafanya hivyo. kuna mtu aliniambia carbon buildup yaweza pia kuwa tatizo.Hiyo engine inamfumo unaitwa EGR ( Exhaust gas Recirculation ) ambao unafanya gas ya kurudisha exhausted gas tena kwenye combation chamber , so valve zake zikiziba ndo zinakuja kuleta hayo matatizo kwenye hizo engine .
Nenda kwa fundi mwambie acheki kama valve zake zimeziba ubadilishe nyingine inaweza ikasaidi kusolve hilo tatizo.
Pia nadhani kama unataka kubadilisha engine unaweza funga engine ya 3s .
uza haraka sanaNaombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4.
Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km.
Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu.
Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu.
Naombeni msaada wenye uzoefu na hizi engine.
hii nayo ina injini kama ya voxy. 1az fseILA NOAH NEW SHAPE NI GARI YENYE KUVUTIA AISE View attachment 2808405
Inategemea unanunua wap ila sidhani kama itazidi 2.5m maximum.Asante sana. nitafanya hivyo. kuna mtu aliniambia carbon buildup yaweza pia kuwa tatizo.
Pia ningependa kujua hiyo engine ya 3s ubora wake na gharama zake
Kuanzia 2008 walitoa generation nyingine yenye injini ya 3ZR ili kutatua changamoto ya 1AZ.hii nayo ina injini kama ya voxy. 1az fse
Thanks...Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4.
Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km.
Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu.
Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu.
Naombeni msaada wenye uzoefu na hizi engine.
Thanks...ILA NOAH NEW SHAPE NI GARI YENYE KUVUTIA AISE View attachment 2808405