Msaada voxy engine 1az fse inakula mafuta balaa. 1 litre per 3km

Joined
Jun 11, 2023
Posts
36
Reaction score
25
Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4.

Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km.

Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu.

Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu.

Naombeni msaada wenye uzoefu na hizi engine.
 
Vyanzo vya Gari kukosa nguvu kwenye mlima:
(1). Plugs na coils
(2). Fuel Pump
(3). Nozzles
(4). Exhaust kutoboka/ kuvuja
(5). Oxygen sensor
(6). Air filter kuchakaa.
 
Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4.

Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km.

Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu.

Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu.

Naombeni msaada wenye uzoefu na hizi engine.
Hiyo engine inamfumo unaitwa EGR ( Exhaust gas Recirculation ) ambao unafanya gas ya kurudisha exhausted gas tena kwenye combation chamber , so valve zake zikiziba ndo zinakuja kuleta hayo matatizo kwenye hizo engine .

Nenda kwa fundi mwambie acheki kama valve zake zimeziba ubadilishe nyingine inaweza ikasaidi kusolve hilo tatizo.

Pia nadhani kama unataka kubadilisha engine unaweza funga engine ya 3s .
 
Mpaka sasa bado hiyo changamoto ipo
 
Asante sana. nitafanya hivyo. kuna mtu aliniambia carbon buildup yaweza pia kuwa tatizo.

Pia ningependa kujua hiyo engine ya 3s ubora wake na gharama zake
 
ILA NOAH NEW SHAPE NI GARI YENYE KUVUTIA AISE
FB_IMG_1699458940598.jpg
 
Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4.

Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km.

Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu.

Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu.

Naombeni msaada wenye uzoefu na hizi engine.
uza haraka sana
 
Thanks...
MREJESHO fundi alibadilisha vacuum sensor gari ikapona. Nguvu imerejea na sasa inakula mafuta vizuri. Imebaki code ya vvti valve najipanga nibadilishe vvti maana kuna mlio unasikika kama rattling au knoking sound fundi akasema ni vvti na ndio faults code iliyobakia.

Faults code ya rich fuel imeondoka baada ya kubadilisha vacuum sensor Zote
 
ILA NOAH NEW SHAPE NI GARI YENYE KUVUTIA AISE View attachment 2808405

Back
Top Bottom